Kilimanjaro Star Cargo

Kilimanjaro Star Cargo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kilimanjaro Star Cargo, Cargo and freight company, Lootah building, 2nd floor, office number 206, Dubai.

21/03/2026
EID MUBARAK! Simba wa Bahari, tunawatakia waisilamu wote, watanzania, East Africa, Africa nzima pamoja na Dunia, EID MUB...
21/03/2026

EID MUBARAK!

Simba wa Bahari, tunawatakia waisilamu wote, watanzania, East Africa, Africa nzima pamoja na Dunia, EID MUBARAK.

🤲🤲


KESHO JUMAPILI, TUPO WAZI. Kesho Jumapili tupo wazi, Ofisi zetu zote kuanzia hapa Lumumba HQ na Ofisi za Mwanza na Dodom...
14/03/2026

KESHO JUMAPILI, TUPO WAZI.

Kesho Jumapili tupo wazi, Ofisi zetu zote kuanzia hapa Lumumba HQ na Ofisi za Mwanza na Dodoma saa tatu asubuhi hadi saa tisa Alasiri.

Pia Godown zetu zote tupo wazi kuanzia saa tatu asubuhi hadi usiku.

Kwa maelezo zaidi:

+255 746 813 813

Endelea kufurahia huduma zetu 2026..

HERI YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI (2026)Simba wa Bahari, tunawatakia heri ya Siku ya Mwanamke, wanawake wote Duniani, Afr...
08/03/2026

HERI YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI (2026)

Simba wa Bahari, tunawatakia heri ya Siku ya Mwanamke, wanawake wote Duniani, Africa, East Africa na Tanzania yote kwa ujumla. Bila kuwasahau Wanawake Wajasiriamali na Wafanyabiashara wote.

Na katika Kampuni yetu ya Kilimanjaro Star Cargo Hakika tunajivunia nyinyi, mmeonesha ni jinsi gani kuna umuhimu wa wanawake wote kupewa Heshima na Nafasi katika Jamii, Mnastahili kuheshimiwa.

HAPPIEST INTERNATIONAL WOMEN'S DAY! 2026🤝


22/02/2026

TAARIFA KWA WATEJA WETU WA SILENT OCEAN.

Kutokana na tamko la Serikali na changamoto ya magari ya mizigo kuzuiwa kuingia baadhi ya mitaa ya Kariakoo wakati wa mchana, pamoja na muafaka wa wateja wengi kupokea mizigo nyakati za usiku, tunapenda kuwajulisha kuwa:

Silent Ocean sasa tumeanza rasmi huduma ya DELIVERY USIKU.

Huduma hii imelenga:
• Kurahisisha upokeaji wa mizigo
• Kuepusha usumbufu wa vizuizi vya mchana
• Kuhakikisha mizigo inawafikia kwa wakati na kwa usalama

Kwa sasa utaratibu huu unaendelea vizuri, na tutaendelea kuwataarifu endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote ya kiofisi.

Asanteni kwa kuendelea kutuamini —
Silent Ocean, tunajali muda wako na biashara yako.
Maelezo zaidi, wasiliana nasi:

+255 746 813 813


19/02/2026

EVENING DELIVERY:
Kutokana na changamoto ya Msongamano wa Magari na watu katika masoko ya ikiwemo kariakoo na maeneo mengine, na kuzua changamoto ya kufikisha mizigo kwa wakati, SIMBA WA BAHARI tumeleta huduma ya delivery wakati wa Usiku. Usiku na Shwari, Usiku ni Haraka na Usiku ni Salama ✅

MELI INAYOFUATA DUBAI 🇦🇪 Kwa Mawasiliano zaidi,+971 56 198 9458 (Dubai Office) 🇦🇪+255 746 813 813 (Tanzania Office)🇹🇿
19/02/2026

MELI INAYOFUATA DUBAI 🇦🇪

Kwa Mawasiliano zaidi,

+971 56 198 9458 (Dubai Office) 🇦🇪
+255 746 813 813 (Tanzania Office)🇹🇿


Ramadan Mubarak ☪️
19/02/2026

Ramadan Mubarak ☪️

TANZANIA TRADE & LOGISTICS FORUM 2026 AWARDSSimba wa Bahari tupo Dubai kushiriki Mkutano wa Wafanyabiashara wa Tanzania ...
15/02/2026

TANZANIA TRADE & LOGISTICS FORUM 2026 AWARDS

Simba wa Bahari tupo Dubai kushiriki Mkutano wa Wafanyabiashara wa Tanzania na Dubai, unaolenga kukuza biashara na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizi mbili.
Mkutano huu umeandaliwa mahsusi kuwakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na wasambazaji pamoja na wateja kutoka Dubai, kwa lengo la kufungua fursa mpya za biashara na kuimarisha biashara ya kimataifa.
Baadhi ya faida kuu za mkutano huu ni pamoja na:-

✅ Kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Dubai
✅ Kuunganisha wafanyabiashara na masoko mapya
✅ Kupata wasambazaji na wateja wa moja kwa moja
✅ Kuongeza fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kimkakati
✅ Kufungua masoko mapya kwa bidhaa na huduma zetu
✅ Kuimarisha sekta ya usafirishaji na biashara ya kimataifa
Kwa ujumla, mkutano huu ni jukwaa muhimu linalochochea ukuaji wa biashara, kujenga mitandao ya kibiashara, na kufungua milango ya fursa mpya kwa wafanyabiashara wa Tanzania katika soko la kimataifa.

14/02/2026

Ni siku ya pili ya kongamano la Tanzania Trade & Logistics Forum hapa Dubai na leo ilikua siku maalum ya wafanyabiashara walioshiriki kwenye kongamano hili kuweza kunadi biashara zao na sisi Simba wa bahari tumepata fursa hii na pia tumeweza kutoa elimu zaidi kuhusu huduma yetu ya usafirishaji bidhaa kutoka Dubai kuja Nchini Tanzania kwa wafanyabiashara waliotembelea banda letu kwenye kongamano hili.

Address

Lootah Building, 2nd Floor, Office Number 206
Dubai

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimanjaro Star Cargo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share