Xerin Air Cargo

Xerin Air Cargo Xerin Air Cargo is a locally owned and operated air freight solutions provider, offering dedicated cargo charter services between Tanzania and the Middle East.

With our own fleet of aircraft capable of transporting a significant tonnes per trip, we specia

Uharaka. Usalama. Uhakika kila mtu anasema.Lakini ukweli ni huu:Sio kila mzigo unafika kwa wakati Sio kila huduma ina ra...
27/04/2026

Uharaka. Usalama. Uhakika kila mtu anasema.
Lakini ukweli ni huu:

Sio kila mzigo unafika kwa wakati
Sio kila huduma ina ratiba ya uhakika

Ndiyo maana wafanyabiashara wanaotaka kusonga mbele
hawabahatishi wanachagua njia inayofanya kazi.

Kupitia Xerin Air Cargo, mizigo yako inasafirishwa kila wiki kutoka Dubai hadi Tanzania
kwa mfumo unaolenga biashara sio majaribio.

Tofauti ya kusubiri na kusonga mbele iko kwenye maamuzi.

Usisubiri uchelewe hakikisha mzigo wako unaondoka next flight.

CONTACT
Tanzania: +255 792 810 242
Dubai: +971 54 404 0382
[email protected]
www.xerinaircargo.com

Wewe ungependa mzigo wako uwe hapa… au bado usubiri?Hii ndio picha halisi ya kinachoendelea kwenye usafirishaji wa mizig...
23/04/2026

Wewe ungependa mzigo wako uwe hapa… au bado usubiri?

Hii ndio picha halisi ya kinachoendelea kwenye usafirishaji wa mizigo.
Ndege ya mizigo, mzigo unapakuliwa,
na bidhaa zinaanza safari ya kuingia sokoni.
Kupitia Xerin Air Cargo, mizigo kutoka Dubai inaendelea kufika Tanzania kwa ratiba ya uhakika kuhakikisha biashara zinaendelea bila kusimama.

Biashara zinazosonga mbele hazibahatishi zinachagua uhakika.

CONTACT
Tanzania:+255 792 810 242
Dubai: +971 54 404 0382
[email protected]
www.xerinaircargo.com

Huduma ya cargo kati ya Dubai na Tanzania,pande zote mbili kwa haraka na uhakika.CONTACTTanzania: +255 792 810 242 Dubai...
22/04/2026

Huduma ya cargo kati ya Dubai na Tanzania,
pande zote mbili kwa haraka na uhakika.

CONTACT
Tanzania: +255 792 810 242
Dubai: +971 54 404 0382
[email protected]
www.xerinaircargo.com

Waliopanga mapema tayari wako mbele.Flight inayofuata iko confirmed.Tofauti ya mfanyabiashara anayefanikiwa na anayesubi...
21/04/2026

Waliopanga mapema tayari wako mbele.

Flight inayofuata iko confirmed.

Tofauti ya mfanyabiashara anayefanikiwa na anayesubiri
iko kwenye timing.

Hakiki nafasi yako mapema.

17/04/2026

K**A BIASHARA YAKO INASUBIRI MZIGO TAZAMA HII

Ucheleweshaji wa mizigo unaathiri biashara nyingi kwa sasa.
Lakini kwa Xerin Air Cargo, tunahakikisha mzigo wako unafika kwa wakati kupitia ndege ya mizigo ya kila wiki kutoka Dubai hadi Tanzania.
Haraka
Uhakika
Biashara inaendelea

Usisubiri book nafasi yako mapema.
TZ: 0792 810 242
Dubai: +971 54 404 0382

16/04/2026
WE ARE HIRING  DEADLINE NOTICEApplications for the position of Customer Service Officer (Shipping & Logistics) are closi...
14/04/2026

WE ARE HIRING DEADLINE NOTICE

Applications for the position of Customer Service Officer (Shipping & Logistics) are closing soon.

Deadline: 16th April 2026

If you have experience in logistics and strong customer handling skills, this is your opportunity to join a fast-growing logistics company.

Send your CV to: [email protected]

Limited time
Apply now before the deadline.

Xerin air cargo tunatoa suluhisho la usafirisha wa bidhaa zako za thamaniKutoka Dubai - Zanzibar- Dar es salaam- DubaiWa...
13/04/2026

Xerin air cargo tunatoa suluhisho la usafirisha wa bidhaa zako za thamani

Kutoka Dubai - Zanzibar- Dar es salaam- Dubai

Wasiliana nasi kwa kupitia email zetu [email protected]

NDEGE YA MIZIGO IMETHIBITISHWA Usipoteze nafasi  mzigo wako usibaki nyuma.Dubai → Zanzibar & Dar es SalaamJumanne, 14 Ap...
12/04/2026

NDEGE YA MIZIGO IMETHIBITISHWA

Usipoteze nafasi mzigo wako usibaki nyuma.

Dubai → Zanzibar & Dar es Salaam
Jumanne, 14 April 2026
Haraka
Salama
Uhakika wa kufika
Cut-off: Jumatatu saa 10 jioni
Katika kipindi hiki ambacho usafirishaji una changamoto, sisi tunahakikisha mzigo wako unafika bila usumbufu.

Biashara yako haiwezi kusubiri nasi hatuchelewi.
Book now:
+255 792 810 242
+971 544 040 382
www.xerinaircargo.com⁠

Logistics AirCargo

PERISHABLES? TUNASAFIRISHA HARAKA NA SALAMA Unasafirisha nyama, samaki, matunda au bidhaa zinazohitaji uharaka?Xerin Air...
10/04/2026

PERISHABLES? TUNASAFIRISHA HARAKA NA SALAMA

Unasafirisha nyama, samaki, matunda au bidhaa zinazohitaji uharaka?

Xerin Air Cargo tunahakikisha mizigo yako ya perishables inafika Dubai salama, fresh na kwa wakati.
Fast air cargo solutions
Reliable handling
Priority cargo space
Limited space available book mapema sasa
+971 544 040 382
+255 792 810 242
www.xerinaircargo.com⁠
Connecting Destinations. Empowering Businesses.

08/04/2026

MIZIGO YAKO IMEKWAMA DUBAI?

SASA TUMA KWA NDEGE HARAKA NA SALAMA

Dubai → Zanzibar & Dar es Salaam

From $8/kg – Dar es Salaam (DDP)
From $8/kg – Zanzibar (DDP)

Pokea mzigo wako siku inayofuata baada ya ndege kufika

Ndege kila wiki
Minimum: 300kg

NAFASI NI CHACHE WAHI SASA!

+971 544 040 382
+255 792 810 242
[email protected]

www.xerinaircargo.com

Vigezo na masharti kuzingatiwa

Mzigo wako umechelewa Dubai?Tunatoa suluhisho la haraka, salama na kwa gharama nafuu kusafirisha mizigo yako kwenda Tanz...
07/04/2026

Mzigo wako umechelewa Dubai?

Tunatoa suluhisho la haraka, salama na kwa gharama nafuu kusafirisha mizigo yako kwenda Tanzania

Huduma ya Door-to-Door inapatikana
Unapokea mzigo ndani ya masaa 48
Ndege mara mbili kwa wiki
Bei: $8/kg (DDP)
Minimum: 300 KG

Usikubali ucheleweshaji wa mzigo kuathiri biashara yako hifadhi nafasi yako sasa.






SupplyChain
ImportExport
BusinessAfrica
XerinAirCargo

Address

Al Sabkha Office Building, 4th Floor, Office Number 406, Deira
Dubai
11000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Xerin Air Cargo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Xerin Air Cargo:

Share