05/08/2026
KAIZIREGE AND KEMEBOS BUS SERVICE
HEAD OFFICE:
BUKOBA KAGERA, TANZANฮฮ; ฮก.ฮ. ฮฮฮง 1054
MIN-OFFICE:
DAR ES SALAAM, KINONDONI STUDIO, LIVINGSTONE STREET DODOMA, MACHINGA COMPLEX, BAHI ROAD
+255 677 848 343
+255 755 760 268
+255 744 759 886
+255 714 795 465
TANGAZO LA AJIRA MAKONDAKTA WA MABASI YA ABIRIA
ยฉSIFA ZA MWOMBAJI
1-- Awe ni binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 hadi 22.
2-- Awe amehitimu elimu ya Kidato cha Nne au Kidato cha Sita.
3-- Awe na cheti cha Ukondakta kilichotolewa na LATRA au taasisi nyingine inayotambulika.
4-- Awe na maadili mema, nidhamu, uaminifu na uwezo mzuri wa kuhudumia wateja.
5-- Elimu ya Kompyuta au Uhasibu itakuwa sifa ya ziada.
ยฉTAREHE NA MAHALI PA USAILI
Usaili utafanyika siku ya JUMAMOSI
08 AGOSTI 2026
kuanzia saa 03:00 ASUBUHI
katika Ofisi za Kaizirege & Kemebos Bus Service zilizopo Kinondoni Studio, Mtaa wa Livingstone, Dar es Salaam.
MWOMBAJI AFIKE NA NYARAKA ZIFUATAZO
1. Barua ya maombi ya kazi.
2. Nakala ya cheti cha Kidato cha Nne na/au Kidato cha Sita.
3. Nakala ya cheti cha Ukondakta.
4. Nakala ya cheti cha Kompyuta au Uhasibu (ikiwa anacho).
5. Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA.
6. Barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa au Kijiji.
7. Picha mbili (2) za Passport Size.
Waombaji wanatakiwa kufika kwa wakati. Gharama zote za usafiri na malazi
zitabebwa na mwombaji mwenyewe.
๐ผ๐๐ ๐๐ผ๐๐๐ผ๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐๐ || ๐๐ช๐ข๐๐๐ฉ๐๐ ๐จ๐๐๐๐ง๐ ๐ซ
SafariBora BusService