01/10/2026
♦️Mwezi mpya, neema mpya, safiri salama na AIFOLA EXPRESS.
Asante kwa kuendelea kuwa nasi na kutuamini.
♦️Tutaendelea kuwapa huduma bora mpaka mwisho wa safari !
Online booking tembelea 🌐www.aifolaexpress.co.tz
App yetu (AIFOLA EXPRESS) inapatikana kote Playstore na AppStore 📲