Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL)

Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL)
Leading economic force in Tanzania with major investments in all key business sectors. Twitter: https://twitter.com/MeTL_Group

The MeTL Group began as a small trading business and its growth is largely attributable to strong vision, experience, knowledge and skills derived from over forty years of experience in Tanzania’s industrial and commercial sectors. Private industry in the country is a huge and positive force for growth and development and for realizing the benefits of globalization. The MeTL Group plays a lead rol

e in this endeavor and is in a unique position to offer assistance and advice to all those who wish to invest profitably in the future of Tanzania. Underpinning its success, the MeTL Group has carefully charted its course by defining a development plan that underpins its mission statement

SIKU YA KWANZA YA MOFURSA IMEFIKA! 🚨Vijana, riders na hustlers wa Dar—hii ni nafasi yako ya kujifunza, kujiendeleza na k...
18/08/2026

SIKU YA KWANZA YA MOFURSA IMEFIKA! 🚨

Vijana, riders na hustlers wa Dar—hii ni nafasi yako ya kujifunza, kujiendeleza na kuchukua hatua kuelekea kumiliki biashara yako. 🔥

Kuna mengi sana ya kujifunza, ushauri wa maana na fursa nzuri inayokusubiri. Na baada ya mafunzo? Kuna OFA MAALUM usiyotaka kuikosa! 👀💛

📍 Mahali: Jaksi Plaza
📅 Tarehe: 18 Agosti 2026
📞 Mawasiliano: 0760 200 998 / 0760 200 994

Njoo mapema, leta maswali yako na mwambie rafiki mwenye ndoto ya kukuza kipato chake. Fursa inaweza kuanza na hatua moja tu—na hatua hiyo ni kufika MOFURSA!

YARA Pure Sunflower Oil hukamilisha maandalizi yako ya chakula na kukupa uhuru wa kupika vyakula mbalimbali kwa familia....
17/08/2026

YARA Pure Sunflower Oil hukamilisha maandalizi yako ya chakula na kukupa uhuru wa kupika vyakula mbalimbali kwa familia. Hata Ukipikiwa hakikisha unapikiwa na YARA.

MO Simba Power Battery ni chaguo linalokuweka tayari wakati wote. Kwa wa redio, rimoti na vifaa vingine vinavyohitaji ng...
14/08/2026

MO Simba Power Battery ni chaguo linalokuweka tayari wakati wote. Kwa wa redio, rimoti na vifaa vingine vinavyohitaji nguvu ya kuaminika. Simba Power - nguvu ya kuendelea⚡

If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and...
11/08/2026

If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role

Mtuhumiwa wa ladha tamu amekamatwa akiwa amezungukwa na vitafunwa vya kuvutia! MO Safi ndiyo siri ya kuandaa maandazi, s...
11/08/2026

Mtuhumiwa wa ladha tamu amekamatwa akiwa amezungukwa na vitafunwa vya kuvutia! MO Safi ndiyo siri ya kuandaa maandazi, sambusa na mapishi mbalimbali yanayopendwa nyumbani. Unga wenye ubora unaokupa nafasi ya kuandaa kila kitu kwa kujiamini na matokeo yanayofurahisha familia.

08/08/2026

Simba Day is calling…

Muda wa kujiweka tayari umefika. Vaa rangi zako, kusanya crew yako na usisahau Mo Cola kwa vibe kamili ya siku.

Simba Day tunakuja!

Heri ya Siku ya Nane Nane kwa wakulima wote wanaofanya kazi kwa moyo, maarifa na matumaini ya mavuno bora. Kila punje in...
08/08/2026

Heri ya Siku ya Nane Nane kwa wakulima wote wanaofanya kazi kwa moyo, maarifa na matumaini ya mavuno bora. Kila punje inayopandwa leo ni hatua kuelekea chakula cha kutosha, uchumi imara na maisha bora kwa familia na taifa kwa ujumla. MO tunathamini mchango mkubwa wa mkulima katika maendeleo ya Tanzania.

08/08/2026

Simba Day mode: ON 🦁🔥

Leo ni attitude, energy na shangwe za kiwango kingine. Ukifika, fika kamili na vibe yako pamoja na Mo Cola.

Simba Day, tunaingia kwa nguvu!

07/08/2026

Uko tayari kwa Simba Day? 🦁🔥

Safari ya kwenda Simba Day lazima iwe na style! Jersey ya Simba mwilini, Mo Cola mkononi na vibe ikiwa juu kabisa.

Wewe utaendaje Simba Day?

07/08/2026

🦁🔥 Siku ya Simba, ladha ya ushindi!

Tusherekee Simba Day pamoja na mashabiki wote kwa burudani na kiburudisho cha MO Cola. 🥤❤️

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255222122830

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL):

Shortcuts

Share