wahamishaji

wahamishaji Huduma ya Kuhama Makazi na Ofisi
Call Us 0692 34 3395
-Usafiri, Kubeba Vitu Na Kuvipanga
-Ufundi(dish, tv)

29/07/2026

Ofisi Yako Ni Dhamana Yetu.
Na Kukuhamishia kwenye Ofisi Mpya Ni Jukumu Letu.

Tupigie/WhatsApp Sasa : 0692 34 3395

21/07/2026

Usifanye kosa hili wakati wa kuhamisha ofisi… linaweza kukugharimu maelfu ya fedha! πŸ’ΈπŸ’

β›” Uhamishaji wa ofisi sio kubeba vitu na kuvipeleka sehemu nyingine tu. Kuna vitu vingi vinahitaji umakini ili kuepuka hasara na usumbufu.

⚠️ Makosa yanayoweza kukugharimu ni k**a:
❌ Kutopanga uhamishaji mapema
❌ Kutolinda vifaa muhimu vya ofisi
❌ Kutumia watu wasio na uzoefu wa Kuhamisha na kushughulikia vifaa vya thamani.

Matokeo yake yanaweza kuwa:
πŸ’» Vifaa kuharibika
πŸ“„ Nyaraka kupotea
⏰ Muda wa kazi kupotea
πŸ’° Gharama kuongezeka

Ofisi yako ina thamani kubwa β€” ihamishe kwa uangalifu unaostahili. βœ…

πŸ“¦ Wahamishaji Tanzania tunakusaidia kuhamisha ofisi yako kwa usalama, mpangilio na utaalamu.

15/07/2026

Kumchukia Huyu Messi ni kazi ngumu sana. πŸ˜‚πŸ«‘

Yani kila unavyomchukia ndo anazidi kukuonyesha sababu ya KUMPENDA.

⚽️ β€οΈπŸ’žβ€οΈ

15/07/2026

Ikiwa huthamini na kujali vitu vya mtu unavyopakia kwenye Gari.

13/07/2026

Sisi Jukumu letu Ni kuhakikisha unaondokewa na Stress zote za kuhama.
Tupigie/WhatsApp: 0692 34 3395

Furaha yetu ni Kuona Tunakusaidia Asilimia 100%, Kwenye Zoezi lako zima la kuhama.

07/07/2026

Smart & Clean.
Tupigie Sasa Ukiwa Unatarajia Kuhama Hivi Karibuni..

CALLS/WHATSAPP 0692 34 3395

01/07/2026

Unahama? Usihofu kuhusu TV yako na vifaa vyako vya thamani!

Kwa Wahamishaji Tanzania, jukumu letu si kukuhamisha tu. Tunajali kila kitu unachomiliki na kuhakikisha kinafika salama hadi eneo lako jipya. πŸ’™

✨ TV yako ni moja ya vitu vinavyohitaji uangalizi wa kipekee. Ndiyo maana timu yetu itakusaidia:

βœ… Kuifungua TV yako kabla ya kuhama.
βœ… Kuibeba kwa umakini na usalama.
βœ… Kuihamisha bila hatari ya kuharibika.
βœ… Kuifunga na kuiweka tayari kutumika unapofika kwenye nyumba au ofisi yako mpya.

Tunajua kuwa furaha ya mtu anayehama inaanza pale anapokuwa na uhakika kwamba mali zake zipo mikononi mwa watu wanaozijali. Hilo ndilo tunalolipa kipaumbele kila siku. πŸ™ŒπŸ½

🏠 Tunatoa huduma za kuhamisha nyumba, ofisi, biashara na mizigo mbalimbali kwa usalama, haraka na kwa bei nafuu ndani ya Tanzania.

πŸ“² Tupigie au tutumie WhatsApp: 0692 343 395

Tukusaidie zoezi zima la kuhama na kulifanya liwe jepesi k**a kunywa maji. πŸ’ͺ🚚

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when wahamishaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category