05/02/2025
Je unahitaji pikipiki za mkopo? basi wasiliana nasi Bonpet motorcycles. Sisi tunatoa pikipiki za mkopo kwa masharti nafuu kabisa. unachotakiwa kuwa nacho ni leseni, ada ya awali na mdhamini.
Waweza wasiliana nasi kwa namba za simu 0748 204499 kujua zaidi au fika ofisini kwetu kigamboni kisota. Karibu ujipatie pikipiki ya mkopo kwa masharti nafuu na uilipie kidogo kidogo.