Nahama Movers

Nahama Movers Nahama Moving Services – Huduma bora za uhamishaji wa nyumba na ofisi Dar es Salaam.

20/03/2026

Team ya NAHAMA MOVERS inawatakia Eid Mubarak!

   πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
08/03/2026

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Watch, follow, and discover more trending content.

🚚 UNATAKA KUPATA PESA KWA URAHISI? πŸ’°NAHAMA MOVERS tunatoa 10% COMMISSION kwa kila mteja utakayetuletea.πŸ‘‰ Unamjua mtu ana...
06/03/2026

🚚 UNATAKA KUPATA PESA KWA URAHISI? πŸ’°
NAHAMA MOVERS tunatoa 10% COMMISSION kwa kila mteja utakayetuletea.
πŸ‘‰ Unamjua mtu anayehama nyumba?
πŸ‘‰ Unamjua mtu anayehama ofisi?
Mtume kwetu na ulipwe 10% ya malipo yake.
πŸ’° Mfano:
Mteja akilipa 500,000 Tsh
Wewe unapata 50,000 Tsh
Hakuna kazi ngumu β€”
ni kumtambulisha tu mteja.
πŸ“© DM sasa kujiunga na Referral Program.
🚚 NAHAMA MOVERS
We move, you relax.




Watch, follow, and discover more trending content.

πŸ“¦πŸ  KUNA VITU 3 MUHIMU KUZINGATIA1️⃣ Mipango – kujua nini kinaanza kufungwa na nini kinaenda mwisho.2️⃣ Umakini wa mali –...
05/03/2026

πŸ“¦πŸ  KUNA VITU 3 MUHIMU KUZINGATIA

1️⃣ Mipango – kujua nini kinaanza kufungwa na nini kinaenda mwisho.
2️⃣ Umakini wa mali – kufunga vizuri ili kuepuka uharibifu.
3️⃣ Watu sahihi – timu inayojua kazi yake.

Ukikosa hata kimoja kati ya hivi, kuhama inaweza kuwa stress kubwa.

Kwa Nahama Movers, tunahakikisha kila hatua inapangwa vizuri ili mali yako ifike salama na wewe ubaki na amani ya moyo.

🚚 Nahama Movers – Tunapanga, tunabeba, tunalinda mali yako.

Watch, follow, and discover more trending content.

03/03/2026

πŸ πŸ“¦ KUHAMA NI MWANZO MPYA

Kuhama si tu kubadilisha nyumba.
Ni kufungua ukurasa mpya.
Ni kuanza mazingira mapya.
Ni kupanga upya maisha.

Lakini pia… kuhama huja na stress, uchovu na wasiwasi.
Ndiyo maana unahitaji watu watakaokufanya safari hii iwe nyepesi.

πŸ‘‰ Panga mabadiliko yako bila hofu.
πŸ‘‰ Hama kwa amani.
πŸ‘‰ Anza ukurasa mpya kwa utulivu.

🚚 Nahama Movers – Tunafanya mwanzo wako mpya uwe rahisi

πŸ πŸ“¦ KUHAMA NI MWANZO MPYAKuhama si tu kubeba mizigo na kubadilisha nyumba.Ni kufungua ukurasa mpya.Ni kuanza mazingira ma...
03/03/2026

πŸ πŸ“¦ KUHAMA NI MWANZO MPYA
Kuhama si tu kubeba mizigo na kubadilisha nyumba.
Ni kufungua ukurasa mpya.
Ni kuanza mazingira mapya.
Ni kupanga upya maisha.
Lakini pia… kuhama huja na stress, uchovu na wasiwasi.
Ndiyo maana unahitaji watu watakaokufanya safari hii iwe nyepesi.
πŸ‘‰ Panga mabadiliko yako bila hofu.
πŸ‘‰ Hama kwa amani.
πŸ‘‰ Anza ukurasa mpya kwa utulivu.
🚚 Nahama Movers – Tunafanya mwanzo wako mpya uwe rahisi.

Watch, follow, and discover more trending content.

23/02/2026

πŸ™βœ¨ TUNAMSHUKURU MUNGU

Kwa kila kazi tunayopata,
kwa kila mteja anayetuamini,
kwa kila hatua tunayopiga mbele β€”
Tunajua si kwa nguvu zetu tu, bali kwa neema za Mwenyezi Mungu.
Kuna siku ni ngumu.
Kuna siku tunachoka.
Lakini Mungu hutupa nguvu ya kuendelea.

Tunaamini:
Kazi halali + Subra + Imani = Baraka.

Leo tunasema Asante Mungu kwa jana, leo na kesho iliyo bora zaidi.
🌀️ Bila Mwenyezi Mungu, hatuwezi. Kwa Mungu, yote yanawezekana.

πŸ™βœ¨ TUNAMSHUKURU MUNGUKwa kila kazi tunayopata,kwa kila mteja anayetuamini,kwa kila hatua tunayopiga mbele β€”Tunajua si kw...
23/02/2026

πŸ™βœ¨ TUNAMSHUKURU MUNGU

Kwa kila kazi tunayopata,
kwa kila mteja anayetuamini,
kwa kila hatua tunayopiga mbele β€”
Tunajua si kwa nguvu zetu tu, bali kwa neema za Mwenyezi Mungu.
Kuna siku ni ngumu.
Kuna siku tunachoka.
Lakini Mungu hutupa nguvu ya kuendelea.

Tunaamini:
Kazi halali + Subra + Imani = Baraka.

Leo tunasema Asante Mungu kwa jana, leo na kesho iliyo bora zaidi.
🌀️ Bila Mwenyezi Mungu, hatuwezi. Kwa Mungu, yote yanawezekana.

Check out NAHAMA MOVERS’s video.

19/02/2026

WISHING YOU A BLESSED MONTH

Address

Ilala
Dar Es Salaam
12101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nahama Movers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share