19/08/2026
✨ USAJILI WA HIJJA 2027 / 1448H UMEFUNGULIWA ✨
Kwa idhini ya Allah, ndoto yako ya Hijja inaanza sasa.
Tanzania Muslim Hajj Trust, wakongwe wa huduma za Hijja na Umrah nchini Tanzania, inakuletea fursa ya kujiandaa mapema kwa safari ya maisha pamoja na timu yenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20+.
💰 BEI ZETU:
🕋 USD 6,700 – Bei kamili
🕋 USD 1,700 – Kwa mwenye kuhiijiwa
🗓️ TAREHE ZA MSAFARA (makadirio):
Kuondoka: 08 Mei 2027
Kurudi: 29 Mei 2027
📍 HUDUMA KAMILI HATUA KWA HATUA:
✅ Ushauri binafsi na maandalizi ya nyaraka zote
✅ Usafiri wa uhakika + malazi karibu na Haramayn
✅ Mahema Class D Mina na Arafah
✅ Mwongozo wa ibada kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah
✅ Chakula kitamu muda wote wa safari
✅ Ziara za kihistoria na kiroho
✅ Mavazi ya Ihram na vifaa kamili vya safari
✅ Vipindi vya utangulizi kabla ya kuondoka
✅ Timu ya vijana na wazee wenye tajriba ya miaka 20+
Hii si tu safari, ni ibada, elimu, na fursa ya kukubaliwa kwa idhini ya Allah (SWT).
Jiandikishe leo. Nafasi ni chache. Wakati wa kuweka nia ni sasa.
TANZANIA MUSLIM HAJJ TRUST
Wakongwe wa huduma za Hijja na Umrah nchini Tanzania 🇹🇿
Watumishi wa Wageni wa Mola
📲 hajjtrust.co.tz
📞 +255 784 272 723
📍 Mt. Pemba No.16 & Mt. Mkunguni No.21, Kariakoo, Dar es Salaam
Unapanga Hijja 2027? Tuma WhatsApp neno **HAJJ2027** sasa hivi.