04/08/2026
Driver needed
Tunahitaji dereva mwenye uzoefu wa Masada marefu (Zambia na congo)
Awe na sifa zifuatazo:
Awe Ana leseni daraja E
Awe na cheti cha veta na barua ya uhakiki
Awe na passport ya kusafiria
Awe mwaminifu
Awe mtu wa kujituma
Piga simu 0715703786