Lavan investment limited

  • Home
  • Lavan investment limited
Website

Lavan investment limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lavan investment limited, Transportation Service, Maweni, .

31/07/2026

Msimu huu wa nane nane, tunahakikisha mkulima unapata mbolea bora za kusawazisha pH na kuongeza rutuba ya udongo wa shamba lako.

13/07/2026

Matokeo chanya yakilimo huanzia kwenye hali ya udongo wa shamba lako.
03/07/2026

Matokeo chanya yakilimo huanzia kwenye hali ya udongo wa shamba lako.

Dalili 4 za udongo wenye tindikali angalia shamba lako leo 🔍Huhitaji sana kuwa na vifaa vya maabara kujua hali ya udongo...
25/06/2026

Dalili 4 za udongo wenye tindikali angalia shamba lako leo 🔍

Huhitaji sana kuwa na vifaa vya maabara kujua hali ya udongo wako. Angalia tu hivi:

1️⃣ Mimea inakua polepole
Hata baada ya kuweka mbolea, ukuaji ni wa kukatisha tamaa

2️⃣ Majani yanageuka njano
Hasa majani ya juu — ishara ya upungufu wa madini

3️⃣ Mbolea haitoi matokeo
Unatumia pesa nyingi — mavuno hayabadiliki

4️⃣ Udongo unaonekana mgumu na usiopenya maji
Maji yanakaa juu badala ya kuingia ndani

pH bora ya udongo ni 5.5 – 7.0
Chini ya hapo, mimea yako inateseka hata bila kujua.

📌 Hifadhi post hii ili uirejelee ukiwa shambani

📞 Piga simu: +255 743 538 058
🌐 www.lavan.co.tz

20/06/2026
Wakulima wengi hukutana na changamoto hii ya asidi na magadi katika mashamba yao.-Changamoto hii hutokana na kutokuwa na...
25/05/2026

Wakulima wengi hukutana na changamoto hii ya asidi na magadi katika mashamba yao.

-Changamoto hii hutokana na kutokuwa na pH iliyo sawa katika udongo washamba lako.

Kitu muhimu unapaswa kusawazisha pH ya udongo wa shamba lako kwa kutumia mbolea kutoka Lavan Investment Limited.

15/05/2026

Limestone Powder:
-Kupunguza tindikali kwenye udongo (soil acidity).
-Kurekebisha kiwango cha pH ya udongo.
-Kuongeza upatikanaji wa virutubisho muhimu kwa mimea.
-Kuboresha ukuaji wa mazao k**a mahindi, mpunga, mboga na matunda.
-Kuboresha afya ya udongo kwa muda mrefu.

Dolomitic Lime:
-Kupunguza tindikali ya udongo (soil acidity).
-Kurekebisha pH ya udongo.
-Kuongeza calcium na magnesium kwenye udongo.
-Kuboresha uwezo wa mimea kufyonza virutubisho.
-Kuboresha rutuba ya udongo.

Agri-gypsum:
-Hupunguza madhara ya sodium/magadi.
-Husaidia kufungua udongo mgumu.
-Huboresha kupenya kwa maji kwenye udongo.
-Huboresha ukuaji wa mizizi.

Karibu Lavan Investment Limited

Tunahudumia wakulima wa mazao yote.Tupigie simu kwa huduma zaidi.+255743538058+255615473061
04/05/2026

Tunahudumia wakulima wa mazao yote.
Tupigie simu kwa huduma zaidi.
+255743538058
+255615473061

Address

Maweni
Tanga
P.O.BOX2140

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30
Saturday 08:00 - 13:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lavan investment limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed transport service?

Share