08/09/2026
Alistair Logistics tunatafuta madereva wa malori wenye uzoefu kujiunga na timu yetu inayokua kwa kasi. Mshahara mnono; Bima ya Afya ya kwako na wategemezi ,Posho kubwa, ambayo huwezi pata kokote. Mazingira mazuri na rafiki kwa madereva. Ukiwa Alistair ni lazima utoboe kimaisha.
K**a una:
✔️ Leseni daraja E
✔️ Uzoefu wa kuendesha lori miaka 2+
✔️ Passport halali
✔️ Police clearance (alama za vidole)
👉 Hii ni nafasi yako!
📍 Siku ya Usaili
Tarehe 10 September-11 September
🕘 7:30 AM – 4:00 PM
📍 Alistair Kurasini Yard, Plot No. 353/354 – Dar es Salaam
💡 Madereva wa ndani ya nchi (Loko) wenye uzoefu wanahimizwa kuomba – kuna nafasi za mafunzo ya safari za nje ya nchi.
📲 Jisajili sasa kwa kuscan QR code kwenye tangazo au kupitia link hii:
👉https://shorturl.at/FfIrN