20/07/2026
K**a hujawahi kusafiri na hizi bus za Western, Kisumu ama Nyanza, basi bado hujui maana ya kusafiri na BIG MACHINES 😂😂
Hizi si bus za kawaida bana… huku safari ni full package. Unaweza kuhubiriwa, kuombewa, kuuziwa bidhaa, kupewa sermon ya bure, kuambiwa uko na mapepo, na bado ukafika destination ukiwa umebeba solar system, machine ya kunyoa na labda number ya mrembo uliyekuwa umekalia bega the whole journey 🤣🤣
Safari ikianza hapo Country Bus ama Afya Centre, ujue umeingia Nyanza Airlines by Road 😂
Unaweza kuchukua seat yako poa, uambiwe: “Simama kidogo, tuimbe Praise and Worship.” 🙏😂
Before ujue umefika Naivasha, pastor amekuhubiria, amekuombea, amekutoa mapepo, jamaa wa visu amepita, kinyozi ameuza machine ya kunyoa ya Githurai, mwingine amekuuzia solar system… na bado unaendelea na safari k**a hakuna kitu imetokea 🤣🤣
Ukifika Mai Mahiu, unaanza kutupa mistari kwa seatmate wako. Na usishangae k**a tayari ameshakulalia begani for the last three hours… hiyo ni bonding ya safari, si relationship bado 😂😂
Na k**a umebahatika kukaa next to a mama mwenye watoto wawili, congratulations! Umepewa promotion ya kuwa temporary father 🤣🤣
Utambeba mtoto, umshikie biscuit, umsaidie akienda choo, na wakati mwingine utaskia: “Baba, nipee maji.” 😂😂
Baba gani? Mimi nililipa seat yangu tu! 🤣🤣
Na kuhusu safari na special cargo… hapo ndio mambo huwa interesting 😭😂
Unaona seat iko na watu watatu, lakini ukifika stop yao hakuna anayeshuka. Ukimuuliza dereva, anasema: “Wacha tuendelee.” 😂
Hapo ndipo unaanza kujiuliza maswali mengi sana 😭🤣
“Wafula alifariki Nairobi juzi, family hawakuwa na pesa ya hearse… dere aliamua kumsaidia afike home.” 😭😂
Na hiyo team huwa na security detail yao. Jamaa wa seti hukaa nyuma, rada iko on full time. Hata ukifika Narok hawashuki kudish. Wao ni: “Chakula ya Narok ni baridi.” “Chakula ya Narok haina taste.” “Hatuna njaa.” 😂😂
Anyway, k**a hujawahi experience hizi safari, bado hujajua maana ya road trip ya kweli 🤣🤣. anyway what's your experience!!!