Mozaico Coaches LTD

Mozaico Coaches LTD Welcome to the official page of Mozaico Coaches Limited. Experience premium travel with The Ultimate Comfort Leader.

πŸ“ž +254 738 821 122

We connect Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda & Burundi with premium passenger transit and reliable parcel logistics.

TAARIFA MUHIMU: SAFARI ZOTE ZAHAMIA MAGUFULI TERMINAL! πŸ“’πŸšŒβœ¨Tunapenda kuwatangazia wateja wetu wote kuwa, kwa kuzingatia m...
21/08/2026

TAARIFA MUHIMU: SAFARI ZOTE ZAHAMIA MAGUFULI TERMINAL! πŸ“’πŸšŒβœ¨

Tunapenda kuwatangazia wateja wetu wote kuwa, kwa kuzingatia maelekezo ya serikali na mamlaka za usafirishaji, mabasi yetu yote sasa yataanza kuondoka na kuwasili rasmi katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal - Mbezi Luisi). πŸ“Œ

Ili kuhakikisha unastarehe na hupati usumbufu wowote wa usafiri:

β€’ Ofisi Zetu Za Mjini Zinaendelea Kuhudumia:

Ofisi zetu zote za katikati ya mji zitaendelea kuwa wazi k**a kawaida kutoa huduma za kukata tiketi, mizigo na vifurushi (parcels), pamoja na ushauri na maswali. πŸ¬πŸ“¦

β€’ Usafiri wa Bure wa Mini-Bus (Shuttle Service):

Tumetenga mini-bus maalum kwa ajili ya kuwasafirisha abiria wetu wote waliokata tiketi kutoka ofisi zetu za mjini moja kwa moja hadi Kituo cha Magufuli bila gharama ya ziada! πŸšπŸ†“

Tunawashukuru sana kwa uaminifu na ushirikiano wenu unapoendelea kusafiri kistaa na The Ultimate Comfort Leader. ❀️✨

🌐 Tovuti: mozaico.co.ke

πŸ“² Mawasiliano na Msaada Zaidi:

β€’ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ“ž Kenya: +254 738 821 122

β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž Tanzania: +255 662 238 757

β€’ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ“ž Uganda: +256 749 358 809

β€’ πŸ’¬ WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354

UNA MASWALI?ULIZA MOZAICO! β“πŸ’‘πŸšŒβœ¨β€’ Swali:Kuna utofauti gani wa huduma ndani ya mabasi ya Mozaico VIP na VVIP Class? πŸ€”β€’ Jib...
20/08/2026

UNA MASWALI?

ULIZA MOZAICO! β“πŸ’‘πŸšŒβœ¨

β€’ Swali:

Kuna utofauti gani wa huduma ndani ya mabasi ya Mozaico VIP na VVIP Class? πŸ€”

β€’ Jibu:

Mabasi wetu ya VIP na VVIP yana:

β€’ πŸ›‹οΈ Viti vya nafasi kubwa vya kulaza

β€’ πŸ“Ά Free Wi-Fi

β€’ πŸ”Œ Sehemu za kuchajia simu (USB charging ports)

β€’ πŸ₯€β˜• Vinywaji baridi na moto

β€’ 🌸 Wahudumu (hostesses) walio tayari kukuhudumia mwanzo hadi mwisho.

Safiri kwa utulivu na starehe ya hali ya juu ukiwa na The Ultimate Comfort Leader! πŸ’Ž

🌐 Tovuti: mozaico.co.ke

πŸ“² Kukata Tiketi / Mawasiliano:

β€’ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ“ž Kenya: +254 738 821 122

β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž Tanzania: +255 662 238 757

β€’ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ“ž Uganda: +256 749 358 809

β€’ πŸ’¬ WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354

TIMU YA USHINDI!MOZAICO VVIP CREW! πŸ“ΈπŸ‘‘πŸšŒβœ¨Mabingwa wa nidhamu, usalama, na ukarimu wa daraja la kwanzaβ€”wakiwa tayari kuhaki...
19/08/2026

TIMU YA USHINDI!

MOZAICO VVIP CREW! πŸ“ΈπŸ‘‘πŸšŒβœ¨

Mabingwa wa nidhamu, usalama, na ukarimu wa daraja la kwanzaβ€”wakiwa tayari kuhakikisha kila moment ya safari yako inakuwa ya kifalme na utulivu wa hali ya juu. πŸ›‹οΈπŸ’Žβœ¨

Safiri kwa amani na uhakika ukiwa na mikono salama ya The Ultimate Comfort Leader! 🀝❀️

πŸ“² Kukata Tiketi / Mawasiliano:

β€’ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ“ž Kenya: +254 738 821 122

β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž Tanzania: +255 662 238 757

β€’ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ“ž Uganda: +256 749 358 809

β€’ πŸ’¬ WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354

19/08/2026

FAMILIA MOJA, SHUKRANI MOJA! πŸŽ‚β€οΈπŸšŒ

Nyuma ya kila safari yenye usalama na utulivu, kuna mikono inayofanya kazi kwa moyo mkunjufu! πŸ‘‘βœ¨

Uongozi wetu mkuu wa Mozaico Coaches ulichukua nafasi hii kuwapongeza na kuwalisha keki madereva wetu mahiri, wahudumu wetu wakarimu, na makatibu wetu wa tiketi kwa kujitolea kwao kila siku. πŸ₯³πŸ°

Sisi si tu kampuni ya usafiri, sisi ni FAMILIA inayojali wale wanaotuhudumia ili nasi tukuhudumie kistaa! πŸ’Ž

Safiri na The Ultimate Comfort Leader! πŸ•ŠοΈ

πŸ“² Kukata Tiketi / Mawasiliano:

β€’ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ“ž Kenya: +254 738 821 122

β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž Tanzania: +255 662 238 757

β€’ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ“ž Uganda: +256 749 358 809

β€’ πŸ’¬ WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354

β€’ πŸ’» Online Booking: www.mozaicoluxury.co.tz

Tunaifanya kila kilometer kuwa daraja la furaha, tukikuunganisha na familia, biashara, na wapendwa wako kwa utulivu na s...
18/08/2026

Tunaifanya kila kilometer kuwa daraja la furaha, tukikuunganisha na familia, biashara, na wapendwa wako kwa utulivu na starehe ya hali ya juu. πŸ€β€οΈπŸ›‹οΈ

Safiri kistaa ukiwa na The Ultimate Comfort Leader! πŸ’Ž

πŸ“² Kukata Tiketi / Mawasiliano:

β€’ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ“ž Kenya: +254 738 821 122

β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž Tanzania: +255 662 238 757

β€’ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ“ž Uganda: +256 749 358 809

β€’ πŸ’¬ WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354

TABASAMU ZA FURAHA, SAFARI ZA AMANI! 😊🌸🚌Wahudumu wetu wapo tayari kukulaza roho na kukupokea kwa ukarimu wa kifalme, uki...
17/08/2026

TABASAMU ZA FURAHA, SAFARI ZA AMANI! 😊🌸🚌

Wahudumu wetu wapo tayari kukulaza roho na kukupokea kwa ukarimu wa kifalme, ukionja utulivu na starehe mwanzo hadi mwisho wa safari yako. πŸ‘‘πŸ›‹οΈβœ¨

Onja ukarimu wa daraja la kwanza ukiwa na The Ultimate Comfort Leader! πŸ’Ž

πŸ“² Kukata Tiketi / Mawasiliano:

β€’ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ“ž Kenya: +254 738 821 122

β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž Tanzania: +255 662 238 757

β€’ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ“ž Uganda: +256 749 358 809

β€’ πŸ’¬ WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354

KING WA BARABARA ZETU: SAFARI ZA KIFAHARI! πŸ‘‘πŸšŒπŸ‡ΉπŸ‡ΏTunaifanya kila kona ya Tanzania kuwa karibu, tukikupa utulivu wa VIP na ...
17/08/2026

KING WA BARABARA ZETU: SAFARI ZA KIFAHARI! πŸ‘‘πŸšŒπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tunaifanya kila kona ya Tanzania kuwa karibu, tukikupa utulivu wa VIP na huduma za kifalme mwanzo hadi mwisho wa safari yako. πŸ‘‘πŸ›‹οΈβœ¨

Safiri kistaa, kwa amani na starehe ya hali ya juu ukiwa na The Ultimate Comfort Leader! πŸ’Ž

πŸ“² Kukata Tiketi / Mawasiliano:

β€’ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ“ž Kenya: +254 738 821 122

β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž Tanzania: +255 662 238 757

β€’ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ“ž Uganda: +256 749 358 809

β€’ πŸ’¬ WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354

Address

Duruma Road
Nairobi
01000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mozaico Coaches LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category