01/09/2026
I feel this client. Iko siku pale Maganyakulo P.O Box 114 tulishambuliwa usiku na siafu tukiwa kwa sakafu.
Taa ilikuwa ya koroboi, woi usitake ona vile maboy tuliumia.
Hizo dudu zilikuwa zinatuuma mpaka dudu zetu!
Hoi taaban wallah!
Maleek's Courier
0724 306604