08/08/2026
๐ฑ HERI YA NANE NANE! ๐น๐ฟ
Leo, NatureRipe Kilimanjaro Limited tunawapongeza na kuwashukuru wakulima wote kwa kazi kubwa mnayoifanya kulisha taifa, kujenga uchumi na kuhakikisha tunapata malighafi bora kwa ajili ya bidhaa zetu. ๐พโค๏ธ
Kila tone la mchuzi, kila kijiko cha siagi ya karanga, kila kiungo na kila bidhaa ya NatureRipe inaanza na bidii, jasho na uzalendo wa mkulima. ๐ฉ๐พโ๐พ๐จ๐พโ๐พ