01/10/2026
Wikiendi inaanzia Zanzibar, kisha vibe lote linaenda kuishia Kili Country Festival! Usikubali kuhadithiwa, ungana na sisi kwenye tamasha hili la kipekee . Safiri kijanja na Precision Air kutoka Zanzibar hadi Kilimanjaro.
Kata tiketi yako mapema kupitia Kitengo chetu cha huduma kwa wateja: +255 (0) 746 984 100 / +255 (0) 784 108 800.