Twende

Directions Website

Twende Twende ni huduma ya Taxi Mtandao kwa ajili ya usafiri na usafirishaji mizigo. Tunatoa huduma za usafiri salama, haraka, na nafuu kwa kutumia bodaboda.

Tunawaunganisha abiria na madereva waliothibitishwa.

28/08/2026

MZIGO WA BIASHARA? TWENDE eGUTA!

Ukiwa Kariakoo, usipoteze muda kutafuta usafiri wa mzigo. Tuma “eGuta” WhatsApp, bot ya Twende itakuuliza mahali ulipo, kisha dereva wetu anakuja kuchukua mzigo wako na kuupeleka kwa Transporter au sehemu unayotaka. 🛺📍

✅ Guta za umeme
✅ Haraka na salama
✅ Rahisi ku-request kupitia WhatsApp
✅ Nauli kuanzia TZS 5,000

📲 WhatsApp: 0666 095 372
💬 Tuma ujumbe: eGuta

Mzigo wako? Twende tunaufikisha kwa Cargo au Transporter! ⚡📦Fanya biashara bila kuhangaika na usafirishaji. Ukiwa Kariak...
23/08/2026

Mzigo wako? Twende tunaufikisha kwa Cargo au Transporter! ⚡📦

Fanya biashara bila kuhangaika na usafirishaji. Ukiwa Kariakoo, request Twende eGuta kupitia WhatsApp na dereva wetu atakuja kuchukua mzigo wako na kuupeleka kwa transporter au sehemu unayotaka. 🛺📦

📲 WhatsApp: 0666 095 372
💰 Nauli kuanzia TZS 5,000
⚡ Guta 100% la umeme
🛡️ Salama & uhakika
⏱️ Haraka na kwa urahisi

Usibebe mzigo, request eGuta!

Hodi Hodi Wakulima! Twende tunaungana nanyi kusheherekea Sikukuu ya Nane Nane! Tunajivunia kuwa washirika wenu wa uhakik...
08/08/2026

Hodi Hodi Wakulima! Twende tunaungana nanyi kusheherekea Sikukuu ya Nane Nane!

Tunajivunia kuwa washirika wenu wa uhakika katika usafirishaji wa mazao yenu kutoka shambani hadi sokoni. Kwa kutumia usafiri wetu wa kisasa wa Guta za Umeme (eGuta), tunahakikisha mazao yenu yanafika yakiwa safi na kwa wakati, huku tukitunza mazingira yetu.

Sisi Twende tunatambua mchango wenu mkubwa kwa taifa letu. Tunawatakia Wakulima wote Maadhimisho mema ya Nane Nane!

Twende: Usafiri Safi, Uchumi Imara.

"HARAKA. SALAMA. NAFUU. 🧡🏍️Hivyo ndivyo tunavyosafiri ndani ya Tanga! Usiteseke na jua au kuchelewa tena. Familia ya Twe...
22/05/2026

"HARAKA. SALAMA. NAFUU. 🧡🏍️

Hivyo ndivyo tunavyosafiri ndani ya Tanga! Usiteseke na jua au kuchelewa tena. Familia ya Twende iko tayari kukufikisha popote unakoenda kwa amani na usalama mkubwa.

Pakua app ya Twende leo na uanze safari yako ya kwanza! 📲👇
🔗 twende.co.tz

03/09/2025

Usalama Kwanza!

Madereva wa bodaboda, kumbuka kuvaa helmet kulinda usalama wako na abiria wako.

Pia, fursa ni nyingi na app ya Twende! Jiunge na uongeze kipato chako kwa kupata wateja wengi zaidi.

29/07/2025
Earn 5,000 PointsFor every parcel you send upcountry via Twende! ✅ Send a parcel✅ Points are credited instantly✅ Use the...
29/07/2025

Earn 5,000 Points

For every parcel you send upcountry via Twende!

✅ Send a parcel
✅ Points are credited instantly
✅ Use them to enjoy more rewards

Download the Twende app now!

📌 *Terms and conditions apply*

DODOSO LA MAONI KWA MADEREVA• BODABODA • BAJAJI • GARIJe, ungependa kuwa na mfuko wa hifadhi ya jamii kupitia App yetu y...
04/04/2025

DODOSO LA MAONI KWA MADEREVA

• BODABODA • BAJAJI • GARI

Je, ungependa kuwa na mfuko wa hifadhi ya jamii kupitia App yetu ya Twende?

Sasa unaweza kuchangia kidogo kidogo mfuko wa hifadhi ya jamii kwa kila safari unayoifanya kupitia App ya Twende!

Maoni yako ni muhimu ili kuhakikisha tunaleta suluhisho bora kwa madereva wote.

Lakini kabla ya kuanza, tunahitaji maoni yako kwa kuscan QR Code hapo juu na kujaza dodoso. https://shorturl.at/gssSO

TWENDE POINTS ZIMEEANZA MBEYA! Tumia App ya Twende na upate 50% ya nauli yako k**a Twende Points! Pesa yako inaongezeka ...
08/03/2025

TWENDE POINTS ZIMEEANZA MBEYA!

Tumia App ya Twende na upate 50% ya nauli yako k**a Twende Points!
Pesa yako inaongezeka unapojisafirisha!

🔹 Ofa imeanza tarehe 5 Machi 2025
🔹 50% ya nauli yako inarudi kwenye Twende Wallet k**a Twende Points
🔹 Tumia pointi zako kwa safari zaidi!

Pakua App ya Twende sasa!
Android: Google Play
iOS: App Store

Address

COSTECH BUILDING, SAYANSI KIJITONYAMA
Dar Es Salaam
4302

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twende posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed transport service?

Share