Silent OCEAN LTD

Silent OCEAN LTD WORLDWIDE | Loose & Full Cargo From Yiwu, Guangzhou | Keqiao, China � | Dubai,Turkey,India and USA � to Tanzania �. Call 075785106070 | +255746813813

10/08/2026
MELI  INAYOFUATA FOSHAN CHINA🇨🇳Maelezo zaidi, waweza kuwasiliana nasi +255 746 813 813 (Tanzania)🇹🇿Endelea kufurahia hud...
10/08/2026

MELI INAYOFUATA FOSHAN CHINA🇨🇳

Maelezo zaidi, waweza kuwasiliana nasi
+255 746 813 813 (Tanzania)🇹🇿

Endelea kufurahia huduma zetu za Usafirishaji


RATIBA YA MELI YIWU NA KEQIAO 🇨🇳Kwa Maelezo zaidi, waweza kuwasiliana nasi+86 132 6597 8760 (Yiwu, China)🇨🇳+255 746 813 ...
09/08/2026

RATIBA YA MELI YIWU NA KEQIAO 🇨🇳

Kwa Maelezo zaidi, waweza kuwasiliana nasi

+86 132 6597 8760 (Yiwu, China)🇨🇳
+255 746 813 813 (Tanzania)🇹🇿

KILA WEEK TUNAPAKIA.” 🤝


LEO SIKU YA NANE NANE TUPO WAZI Wapendwa wateja wa Silent Ocean LtdLeo siku ya Jumamosi Nane Nane day, ofisi zetu zipo w...
08/08/2026

LEO SIKU YA NANE NANE TUPO WAZI

Wapendwa wateja wa Silent Ocean Ltd

Leo siku ya Jumamosi Nane Nane day, ofisi zetu zipo wazi, Ofisi zetu zote kuanzia hapa Lumumba HQ na Ofisi za Mwanza,Dodoma pamoja na Zanzibar saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni

Godown zetu zote tupo wazi kuanzia saa tatu asubuhi hadi usiku

Kwa maelezo zaidi tupigie 0746 813 813

Sisi ni Simba wa Bahari.🦁

HAPPY 88 DAY - FROM US TO YOU! Simba wa Bahari, tunawatakiwa Watanzania wote, Kheri ya Sikukuu ya Wakulima (Nane Nane Da...
08/08/2026

HAPPY 88 DAY - FROM US TO YOU!

Simba wa Bahari, tunawatakiwa Watanzania wote, Kheri ya Sikukuu ya Wakulima (Nane Nane Day) tunawatakiwa maadhimisho mema ya siku hii ya kilele, tupo pamoja na tutaendelea kuwa pamoja katika Usafirishaji wa Bidhaa za Pembejeo na kilimo.

Mawasiliano zaidi,

+255 746 813 813


KESHO SIKU YA NANE NANE TUPO WAZI Wapendwa wateja wa Silent Ocean Ltd Kesho siku ya Jumamosi Nane Nane day ofisi zetu zi...
07/08/2026

KESHO SIKU YA NANE NANE TUPO WAZI

Wapendwa wateja wa Silent Ocean Ltd

Kesho siku ya Jumamosi Nane Nane day ofisi zetu zitakua wazi, Ofisi zetu zote kuanzia hapa Lumumba HQ na Ofisi za Mwanza na Dodoma pamoja na Zanzibar saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni

Godown zetu zote tupo wazi kuanzia saa tatu asubuhi hadi usiku

Kwa maelezo zaidi tupigie 0746 813 813

Sisi ni Simba wa Bahari.🦁

Address

Kariakoo, Lumumba And Udoe Street, GSM Tower
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Silent OCEAN LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Silent OCEAN LTD:

Shortcuts

Share