Shabiby Line

Shabiby Line Welcome to the official page of shabiby line

Tunawatakia wekeend nzuri,asante kwa kutuchagua katika hili wiki.Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yet...
28/08/2026

Tunawatakia wekeend nzuri,asante kwa kutuchagua katika hili wiki.

Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

21/08/2026

Sikiliza simulizi hii ya Beyond Cars kisha tueleze na wewe unahistoria gani na hizi Volvo,pengine unakumbuka ilikua ni mwaka gani na zilikua zinaelekea wapi?

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

🔥✨ Safari ndefu si kero tena, k**a umechagua usafiri sahihi.Kila siku wakati jua linachomoza, Shabiby Line inakuunganish...
21/08/2026

🔥✨ Safari ndefu si kero tena, k**a umechagua usafiri sahihi.

Kila siku wakati jua linachomoza, Shabiby Line inakuunganisha na safari iliyojaa utulivu, faraja na uhakika.
🕕 Saa 06:00 HRS (12 asubuhi) kwa Tsh 50,000/= tu,unasafiri nasi kati ya 📍 Dodoma ⇄ Tunduma.

Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

17/08/2026

Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

AKANOO KUSILENA NEMBALAKWIKA BOLE?Tunapenda kuwakumbusha safari za kutoka Dodoma kuelekea Songea na kutoka Songea kuelek...
08/08/2026

AKANOO KUSILENA NEMBALAKWIKA BOLE?

Tunapenda kuwakumbusha safari za kutoka Dodoma kuelekea Songea na kutoka Songea kuelekea Dodoma ni za kila siku,pia unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia www.shabiby.co.tz (Link ipo kwenye Bio yetu)

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

06/08/2026

Amani Ya Mteja Ndio Mzigo Wa Kwanza
Tunaoubeba.
Wengine Husafirisha Mizigo, Sisi Tunasafirisha Amani Ya Mteja.
Kwa Sababu Tunajua Kila Mzigo Una Thamani Yake, Kila Safari Ina Muda Wake, Na Kila Mteja Anastahili Uhakika Wa Huduma.

Pia Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

Safirisha Mizigo, Vifurushi na Shabiby CargoTunasafirisha Mizigo Mikubwa na Mizigo midogo ( Vifurushi) kwa usalama na ha...
06/08/2026

Safirisha Mizigo, Vifurushi na Shabiby Cargo

Tunasafirisha Mizigo Mikubwa na Mizigo midogo ( Vifurushi) kwa usalama na haraka kwenye mikoa yote ya Tanzania

Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi.

Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

RATIBA MPYA KATESH‼️🚨Katesh mnatupenda na tunawapenda😍,sasa tumewaletea ratiba mpya ya safari za saa 12 asubuhi Dar-Kate...
06/08/2026

RATIBA MPYA KATESH‼️🚨

Katesh mnatupenda na tunawapenda😍,sasa tumewaletea ratiba mpya ya safari za saa 12 asubuhi Dar-Katesh-Dar.

Karibuni sana shabiby bus😍

Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi.

Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

MPWAPWA-DAR-MPWAPWA TUMEWAFIKIA💫Hakika mpwapwa ni moja ya njia zetu za mwanzo kabisa na baada ya kitambo kupita,tunareje...
06/08/2026

MPWAPWA-DAR-MPWAPWA TUMEWAFIKIA💫

Hakika mpwapwa ni moja ya njia zetu za mwanzo kabisa na baada ya kitambo kupita,tunarejea nyumbani..! Na safari zetu zitakua ni za kila siku saa mbili na nusu usiku (20:30HRS) kwa Tsh 35,000/= kuanzia tarehe 09/08/2026

Kumbuka mabasi yetu yote yana huduma ya choo ndani,na sofa zenye kumpa ufahari abiria wetu
NB:HAKUNA KUCHIMBA DAWA MACHAKANI🥂😍

Karibuni sana shabiby bus😍

Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi.

Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

06/08/2026

ETC ZA FURAHA NA UPENDO😍🌹

Hakika mapokezi ya bus zetu mpya yamekua ya mfano baada ya kupokelewa vizuri na wateja wetu.

K**a kampuni tutaendelea kuboresha na kuimarisha huduma zetu kwaajili yako wewe mfalme wetu😍

Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi. Annussiatha_hb

Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

Address

Makole
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shabiby Line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shabiby Line:

Shortcuts

Share