Ushauri wa Ndoa

Ushauri wa Ndoa Let them be them Ndoa zimakuwa changamoto sana Katika Kizazi cha Sasa, ni Muhimu kushirikian udhoefu ili kujenga misingi mizuri ya jamii yetu

Unasema sio Hekima kwa Mwanamke kuondoka kwenye ndoa kutokana na matendo ya mume wake kurudia rudia kutoka nje ya ndoa?W...
02/05/2026

Unasema sio Hekima kwa Mwanamke kuondoka kwenye ndoa kutokana na matendo ya mume wake kurudia rudia kutoka nje ya ndoa?

Wengine tunasema kumuacha mwanaume sababu katika nje ya ndoa sio sababu ya Msingi, ni kweli : K**a upo na unamtegemea Mungu kwa usahihi, nje ya hapo hakuna usalama!

Watu hawapendj kuongelea kuhusu, wanawake wazuri, wenye heshima, waaminifu, ambao wameishia kuosha ukimwi kutokwa kwa wanaume wao wasio waaminifu!

Pictures credit: Essien Vitalis Ngasso

Kuna siku Kipimo chako cha HIV kitakuja positive kwa sababu ya kumsamehe huyo Mke wako kila wakati anapocheat!Kujua mke ...
02/05/2026

Kuna siku Kipimo chako cha HIV kitakuja positive kwa sababu ya kumsamehe huyo Mke wako kila wakati anapocheat!

Kujua mke wako Ana cheat kwa ushahidi ni bahati, sio jambo rahisi, sasa endelea kukaa hapo mpaka upate HIV ndo utaelewa!

Wanaume wanaolala na wake za watu kamwe hawatumii Kinga, wasikudanganye, Hao Watoto unaosema bora ukase kwa ajili yao siku si nyingi watakosa wazazi wote!

Bora kuwa hai na ndoa kuvunjika, kuliko kukaa ndani na kuacha Watoto Yatima!

💫Wamekusaliti kwa sababu unawaamini, lakini hawawezi kuiba hatima yako.Mungu akiamua kukuinua, ananyosha mapito, anaondo...
05/04/2026

💫Wamekusaliti kwa sababu unawaamini, lakini hawawezi kuiba hatima yako.

Mungu akiamua kukuinua, ananyosha mapito, anaondoa vikwazo, na kubadili kuvunjika moyo kuwa upenyo!

Usaliti unaweza kuwa umeutikisa moyo wako, lakini haiwezi kufunga Hatima!

Inuka na ujijenge upya, na ruhusu mafanikio yako yasimame k**a ushahidi kwamba hakuna usaliti unaweza kukwamisha ambacho Mungu kakuandalia.



K**A UMEOLEWA NA MUME HAKUPiGI:Kuwa makini sana nayeUsiitake tu talaka kwa papara na PupaKaa Kwa kutuliaUkiidai talaka k...
27/02/2026

K**A UMEOLEWA NA MUME HAKUPiGI:

Kuwa makini sana naye

Usiitake tu talaka kwa papara na Pupa

Kaa Kwa kutulia

Ukiidai talaka kwa mwanaume k**a huyo umempa nafasi nzuri tu, ingawa mwanzoni anaweza Sumbuka.

Umempa nafasi ya kwenda kuoa ka Binti Kabichi chaguo lake ( Ambapo wapo wengi sana )

- Kabinti Kabichi kadogo.
- Hakana lawama wala makovu.
- Hakajawahi kuwa na mimba.
- Kamesimamia kucha.

Sifa zote hizo hapo juu ulizipoteza wakati unamzalia watoto, wewe unabaki na hizo alama na hiyo historia.

Kwa upande wako:

- Umeshazaa.
- Mwili umebadilika.
- Maziwa yameshuka.
- Tumbo limelendemka.

Unafikiri Kuna Vijana wa Kiume wapo wanakungoja?

Nani anapoteza ?

Tafakari sana kabla ujaharibu Nyuma yako kwa sababu ya kiburi, Hasira na mambo yasiyo ya Msingi.

Ndoa sio kwa ajili ya hisia, but kwe wenye Hekima!

Marriage is not for the emotional.
It is for the wise.

Linda ndoa yako!

, ,

Address

Tabata Shule
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushauri wa Ndoa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share