25/04/2026
*MENDE*
Hatua za kutokomeza mende
1. Fanya usafi wa jiko kila siku kwa kuondoa mabaki ya chakula mara kwa mara.
2. Funga maeneo ya maji kwasababu mende. anapenda unyevunyevu
3. Tupa taka kila siku yaani usiruhusu uchafu ukae ndani usiku.
4. Safisha kona ya chini ya kabati kwani hapo ndipo mende kujificha.
5. Tumia dawa sahihi ili kuzuia harufu na uchafu.
NIPO KUKUHUDUMIA ✌️